Quantcast
Channel: DJ Mwanga
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10261

AUDIO | INASEMEKANA Darassa Kamwibia Dady Beda Kutokea Tanga IDEA Ya NYIMBO Pamoja na BIT SIKILIZA HAPA

$
0
0
ZIKIWA ZIMEPITA SIKU CHACHE TANGU Darasa Alipo Achia Singer Yake Mpya Chini Ya Mikono Ya MR.T.Touch Tunaishi Nimepokea Malamko Kwa watu Tofauti wakidai Darasa Nyimbo aliyo iachia KamwibiaDady Beda Msanii Kutokea Tanga Alikuwa Amemshirikisha Darasa Kwenye Hiyo ngoma Ya Dady Beda Baadae Dady Beda Akashangaa Darasa ametumia mistari yake pamoja na bit kwenye ngoma yake
UNAWEZA KUISKILIZA/Download HIYO NGOMA HAPA CHINI

YA KWANZA NI YA Dady Beda alio Mshirikisha Darasa
http://old.hulkshare.com/dl/7fsoc7sgay2o/Dady_Beda_Ft_Darasa%5BDarassa_Ft.%20nay%20wamitego%20-%20tunaishi%5D?d=1


Hii Hapa ni Ya Pili Ni Ya Darasa akiwa Amemshirikisha Nay Wa Mitego
http://old.hulkshare.com/dl/q0isrcljd5hc/Darassa_cmg_ft_nay_wa_mitego_tunaishi_final_mix3?d=1

UNAWEZA KUTOA MAONI YAKO KAMA NGOMA ZINAFANANA





Twitter:@djmwanga     
Instagram:@djmwanga     
Facebook Fans Page:DJMwanga

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10261

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>