Quantcast
Channel: DJ Mwanga
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10261

New AUDIO | Fred Swagg - Nimewaka | Download/Listen

$
0
0
Mwanamuziki anayekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki Bongo, Fredrick  Kalala ama jina la usanii akijulikana zaidi, Fred Swagg ameachia wimbo mpya mtandaoni  ‘NIMEWAKA’  au ‘Nimelewa’.

Fred Swagg mkali wa vibao vya Maandishi  alichowashirikisha Younf Killer na Kad Go.   Ameeleza kuwa katika wimbo wake huo mpya  wa Nimewaka, upo katika mahadhi ya rap,  ni maalum kwa watu wa rika zote hasa  sehemu za starehe ikiwemo  Club.

“Wimbo huu mpya wa Nimewaka ni wa  ku-Party’  ndani yake kuna komediani ikielezea watu wanavyotumia pesa na kulewa pombe za aina mbalimbali.. hivyo fans wakae mkao wa kula kuanzia sasa itakuwa mtandaoni, ameleza Fred Swagg.

Fred Swagg  anabainisha video ya wimbo huo zinatarajia kuanza muda wowote kuanzia mwezi ujao huku  kwa sasa  akiendelea na promo za nyimbo zake  zingine  zinazofanya vyema  kwenye vituo vya radio mbalimbali za ndani na nje   wimbo wa ‘Kikomo’ aliomshirikisha Msanii, Da Prince  na wimbo wa  Maandishi aliowashirikisha Young Killer na Kad-Go.

Kwa mahojiano zaidi Fred Swag anapatikana kwa namba +255753-544898

DOWNLOAD via HULKSHARE
http://old.hulkshare.com/dl/rx3kjf6y2vwg/Fred_Swagg_Nimewaka.mp3?d=1


DOWNLOAD via KIKISTARMUSIC
http://www.kikistarmusic.com/uploads/tracks/445776023_1837107066_1197228898.mp3


JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter:@djmwanga     
Instagram:@djmwanga     
Facebook Fans Page:DJMwanga

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10261

Trending Articles