VIDEO mpya ya msanii wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul, ‘Diamond Platnum’, ‘Make me Sing’, inatarajiwa kuzinduliwa leo itakapochezwa kwa mara ya kwanza katika televisheni ya MTV Base.
Diamond, anayetarajiwa kwenda nchini Marekani kufanya kazi na mtayarishaji wa muziki, Swizz Beat pamoja na kupiga picha za video yake aliyomshirikisha Neyo, katika video hiyo amemshirikisha mkali kutoka Afrika Kusini, A.K.A.
Hivi juzi kati kupitia ukurasa wake mtandaoni, Diamond aliandika;
FRICA!!!! i know you been waiting for this…and it’s ready for You!… TANZANIA + SOUTH AFRICA = HIT
Download DJMwanga Android Application Click HERE