Quantcast
Channel: DJ Mwanga
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10261

CHID BENZ KUACHIA CHUMA AKIWA NA RAY VANN

$
0
0
Chid Benz baada ya kuweka sawa mambo yake sasa anarudi tena kwenye game na anaachia Chuma akiwa na Ray Vann hii ni kazi ya kwanza kwa Chid Benz tangu aache njia zake mbaya, ni wakati wa kumsapoti sasa ili asirudi kule.
KING KONG AMA HEAVYWEIGHT @officialchiddibeenz ANAACHIA MASHINE KALI YAKUITWA CHUMA AKIWA AMEMSHIRIKISHA MKALI @RAYVANNY. NGOMA HII IMETENGENEZWA NA MAPRODUCER WAWILI Laizer Kutoka WCB WASAFI PAMOJA NA Mrttouchez
https://goo.gl/Dpx8j4

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10261

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>