Quantcast
Channel: DJ Mwanga
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10261

AUDIO | Tanzania Hip Hop Stars ft January Makamba & Sugu – Haki

$
0
0

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba pamoja na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu wameshirikishwa kwenye wimbo uitwao ‘Haki’ uliofanywa na wasanii 13 wa Hip Hip. Katika wimbo huu, January Makamba amefanya intro na Sugu kufunga na outro.



Wasanii walioshiriki kwenye Haki ni pamoja na Quick Rocker, Mchizi Mox, Godzilla, Kala Jeremiah, G-Nako na Nikki wa Pili. Wengine ni Fid Q, Joh Makini, Gosby, Profesa Jay, Mwana FA, Danny Msimamo na Kalapina.

Wimbo huu umetayarishwa na P-FunkMajani kwenye studio za Bongo Records. Una lengo la kulihamasisha bunge la katiba mpya kuingiza suala la sanaa na haki za kazi za kiubunifu (Intellectual Property) kwenye katiba hiyo.

UnaweZausKiLiza Hapa&Kuudownload

http://old.hulkshare.com/dl/zzxc0h1w9ybk/%28DJMwanga.com%29Tanzania_Hip_Hop_Stars_ft_January_Makamba_%26_Sugu_%E2%80%93_HAKI_%28_Produced_by___P-Funk_%29.mp3?d=1 


Crdt:Bongo5

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10261

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>