Wanaowania Tuzo za KILI 2014 ndio hawa, zilizoachwa ziko hapa pia
Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa kuwapata wateule rasmi yaani ‘nominees’ wa vipengele 34 vya tuzo za muziki Tanzania. Kabla ya kuanza kutajwa kwa wanaowania...
View ArticleEXCLUSIVE[AUDIO] AlikiBa - Rosa | Download
Baada Ya Kimya Kirefu ALikiba Mzee wa Dushelele arudi kivingine Hii Hapa Ni Track Yake Mpya
View ArticleArusha Okoa mtaa Festival 30th March 2014
Bofya usikilize HAPA jinsi Jumapili hii tarehe 30 Machi 2014 Kuanzia saa 9 mchana mpaka saa 12 jioni katika Kiwanja cha Mpira AICC Club pembeni ya Kijenge Round About kutakuwa na Tamasha la "OKOA MTAA...
View ArticleMuoneKano Wa Studio Za AKIL RECORDS
Mwoenekano wa Ndani Yastudio za AKIL RECORDS Hii Studio Iko Maeneo Ya ILALA Mtaa wa Arusha
View ArticleJ Moe / Juma Nature & Professor Jay - JWTZ
Ni Director wa kwanza bongo wa Music Videoz kupata access ya vifaru,ndege, helicopter pia sare za jeshi kufanyia music videoI believe kwa Kumtanguliza Mungu kila kitu kinawezekana"After all, I believe...
View ArticleDISS | Oka ft Josp - DIS DOT COM | Video&Audio
Hii ni video ya msanii Oka akiwa amemshirikisha Josp katika wimbo unaoitwa DIS DOT COM. Katika wimbo huu wasanii kama Kala, Roma, Fid Q na wengine wengi wameimbwa humu ndani na kupewa Dis Live bila...
View Article